Star Tv

Mwana anga kutoka shirika la anga la Marekani NASA Christina Koch mwenye umri wa miaka 41, amerejea salama duniani baada ya kufanikisha kuingia katika rekodi ya kuwa mwana anga wa kwanza wa kike kudumu kwa takribani miezi 11 katika eneo la anga ya kimataifa.

Christina  alitua katika eneo la Kazakhstan baada ya kudumu angani kwa siku 328, akiwa pamoja na Luca Parmito wa shirika la anga la Ulaya na Alexander Skvortsov wa shirika lingine kama hilo la Urusi.

Picha kutoka katika eneo la tukio zilimuonesha Christina akiwa mwenye tabasamu wakati ameketi kwa utulivu akiwa chomboni, ambaye alianza safari yake mwezi machi 14, 2019.

                                                                            Mwisho.

Latest News

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA KUFANYIKA SIMIYU TENA.
08 Jul 2020 16:48 - Grace Melleor

Serikali imetangaza kuanzia tarehe 01 hadi 08 Agosti, 2020 kutafanyika maadhimisho ya sikukuu ya wakulima Nanenane ambap [ ... ]

“SIJAJA CCM KUTANGAZA NIA”- JOSHUA NASSARI.
08 Jul 2020 15:46 - Grace Melleor

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amejiunga [ ... ]

WHO YATOA ANGALIZO JIPYA, USAMBAZWAJI WA COVID-19.
08 Jul 2020 08:41 - Grace Melleor

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kwamba "janga la Corona linaongezeka kwa kasi" na kukiri kwamba "ushahidi unaonye [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2020 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.