Leo waislamu katika nchi nyingi duniani wanaadhimisha siku kuu ya Eid el-Fitr, baada ya mfungo wa mwezi mzima wa Ramadhan ikiwa ni nguzo ya nne ya uislam.
Nguzo mojawapo ya Uislamu ambayo ni kufunga katika Mwezi wa Ramadhani. Kwa njia ya saumu, ambapo Waislamu wanajikinga dhidi ya kutawaliwa na nafsi yenye uovu kwa kuitia nidhamu na kuitakasa katika mwezi huu huku ikijulikana kwa jina la mwezi wa toba, huku baadhi ya nchi zikisubiri hadi siku ya kesho, Tanzania na Kenya ikiwa miongoni mwao.