Star Tv
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya limefanikiwa kukamata Silaha moja aina ya SMG na risasi Nne na kuua Mtu Mmoja aliyefaamika kwa jina la Bahati Nyakiha anayedaiwa kuwa jambazi Sugu Mkazi wa Kijiji cha Nyarero  baada ya kurushiana Risasi na Polisi katika Maeneo ya Nkerege Wilayani Tarime Mkoa ni Mara.
Hayo yamebainishwa na Kamanda Henry Mwaibambe kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya ameongeza kuwa pia Wanashikilia watuhumiwa wanane wanaodaiwa kujihusisha na suala la Wizi wa Mifuko kata ya Kitembe Wilayani Rorya na watafikishwa mahakamani ili kujibu shitaka linalowakabili.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.