Star Tv

Mpambano wa Kimataifa baina ya Timu ya Vijana ya Tanzania Serengeti boys, dhidi ya Timu ya Vijana ya Nigeria utakaochezwa katika uwanja wa Taifa . Mkufunzi wa walimu wa mpira wa miguu Tanzania chini ya TFF John Simkoko amewaomba Watanzania kuupenda mchezo huo kwa kila namna, ambapo mchukuano huo unatarajiwa kuanza jumapili hii ya terehe 14 jijini Dar es Salaam baina ya Serengeti boys na Nigeria.

 

Latest News

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Urusi Kuchagiza Maendeleo Afrika kupitia Nishati ya Nuklia na Madini ya Urani
12 Aug 2023 10:07 - Kisali Shombe

ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.