Timu ya Majimaji ya Mjini Songea inakabiliwa na uhaba wa shilingi Milioni 400 ili iweze kukidhi Mashindano ya Ligi kuu.

Hayo yamebainika baada ya mbunge mteule Damas Ndumbaro kuanza kutimiza Ahadi zake za kuwezesha kukuza Michezo katika Mkoa wa Ruvuma.

Mbunge Mteule wa Jimbo la Songea Damas Ndumbaro amesema ili kurudisha heshima ya Michezo Mkoa wa Ruvuma inatakiwa wana Ruvuma wote wasaidiane kwa njia zozote zile ili Majimaji ishinde katika Mechi zilizobaki.

Mwamuzi wa Kimataifa Joseph Mapunda amesema juhudi zinazoonyeshwa na Mbunge wa sasa wa Jimbo la Songea ni Mafanikio ki mchezo kwa Mkoa wa Ruvuma.

Picha na mtandao.

Latest News

Amtumia ndugu yake kutoroka jela
14 Feb 2018 14:15 - Mohamed Mnzava

Mamlaka nchini Peru zimemkamata mfungwa zaidi ya mwaka mmoja tangu atoroke jela kwa kumuacha ndugu yake pacha katika naf [ ... ]

Ukame Cape Town umekuwa 'Janga la kitaifa'
14 Feb 2018 14:05 - Mohamed Mnzava

Afrika kusini imetangaza ukame unaoshuhudiwa Cape Town - mji unao elekea kuishia bila ya hata tone la maji - kuwa janga  [ ... ]

Waziri Mwigulu azungumzia kampeni kuhusishwa na tukio la Mbunge Lissu
14 Feb 2018 13:51 - Mohamed Mnzava

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amewataka wanasiasa kuacha kutumia kesi ya kuumwa kwa Mbunge wa Singida [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2018 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.