Star Tv

Featured News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa.
Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni mojawapo ya rasilimali zetu zenye thamani zaidi na ni muhimu kabisa kwa uhai dunian...
Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya Wakuu wa Nchi 40, wawakilishi wa serikali pamoja na watu mas...
Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa  Rais Xi Jinping wa China
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Ziara ya Kiserikali nchini Afrika Kusini. Sherehe ya kuwakaribisha viongozi hao it...
Urusi Kuchagiza Maendeleo Afrika kupitia Nishati ya Nuklia na Madini ya Urani
ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nchi saba zilizochaguliwa za Kiafrika kuwa sehemu ya mkutano wa pili wa kilele wa m...
Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti...
Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini,...
Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi...
Urusi Kuchagiza Maendeleo Afrika kupitia Nishati ya Nuklia...

Recent News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa.

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani

Ambapo maji ni mojawapo ya rasilimali zetu zenye thamani zaidi na ni muhimu kabisa kwa uhai duniani, na kwa uzalishaji wa chakula

Ripoti ya Umoja wa Mataifa ya Maendeleo ya Maji Duniani (WWDR) ni ripoti kuu ya UN, kuhusu masuala ya maji na usafi wa mazingira

Ikizinduliwa katika Siku ya Maji Duniani, ripoti hiyo inaangazia mada tofauti kila mwaka na inatoa mapendekezo ya sera kwa watoa maamuzi kwa kutoa mbinu bora na uchambuzi wa kina

WWDR imechapishwa na UNESCO kwa niaba ya UN na

Read More

Africa News

Wanawake kuwa sehemu ya Elimu dhidi ya Itikadi Kali na Ugaidi Afrika.
Mnamo Oktoba 14, 2017, Mogadishu, Somalia ilikumbwa na shambulio baya la kigaidi lililoua watu 587 na kujeruhi zaidi ya watu 1,000. Hapo awali, tarehe 21 Septemba 2013, Kenya iliingiwa na hofu baada ya magaidi wanaoshirikiana na Wanamgambo wa Al...
Read More

Media Content

Radio Free Africa - Live

Kiss FM - Tanzania - Live

Star TV - Live Stream

Youtube Channel

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.