Star Tv

Zimeibuka fujo kubwa katika eneo la Jangwanii kufuatia zoezi la bomoabomoa linaloendelea. Inaelezwa kuna kundi kubwa la vijana wanaosadikiwa kuwa ni miongoni mwa makundi ya wahuni wakiwa na chupa, visu na mapanga wamefunga kamba eneo lao na wamesikika wakisema wasiguse polisi.

Kadhalika kundi hilo limechoma matairi na hivyo kufanya moshi mzito kutanda katika anga la eneo hilo.

Hata hivyo kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa ameeleza hali imedhibitiwa na Jeshi la polisi na kwamba zoezi la Bomoabomoa linaendelea. Ameeleza hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa katika tukio hilo

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.