Star Tv

Featured News

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya Wakuu wa Nchi 40, wawakilishi wa serikali pamoja na watu mas...
Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa  Rais Xi Jinping wa China
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Ziara ya Kiserikali nchini Afrika Kusini. Sherehe ya kuwakaribisha viongozi hao it...
Urusi Kuchagiza Maendeleo Afrika kupitia Nishati ya Nuklia na Madini ya Urani
ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nchi saba zilizochaguliwa za Kiafrika kuwa sehemu ya mkutano wa pili wa kilele wa m...
Dkt. Jafo ofisi yake, imekamilisha taratibu zote za kupata Ithibati ya Kitabu cha Muungano.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewasilisha bungeni Hotuba ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa mwaka 2021/22 na Makadirio ya Mapat...
Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini,...
Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi...
Urusi Kuchagiza Maendeleo Afrika kupitia Nishati ya Nuklia...
Dkt. Jafo ofisi yake, imekamilisha taratibu zote za...

Recent News

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya Wakuu wa Nchi 40, wawakilishi wa serikali pamoja na watu mashuhuri wa ndani na wa kimataifa na wajumbe wa mkutano huo

Gwaride la vikosi vya usalama litajumuisha maafisa kutoka katika taaluma mbalimbali za Huduma ya Polisi ya Afrika Kusini (SAPS) na kusaidiana mashirika ya usalama yaliyotumwa kulinda tukio hilo

Matokeo tarajiwa katika mkutano huo ni pamoja na; Mosi, kuthibitisha uhusiano wa karibu na wa kihistoria wa kisiasa unaotegemezwa na

Read More

Africa News

Wanawake kuwa sehemu ya Elimu dhidi ya Itikadi Kali na Ugaidi Afrika.
Mnamo Oktoba 14, 2017, Mogadishu, Somalia ilikumbwa na shambulio baya la kigaidi lililoua watu 587 na kujeruhi zaidi ya watu 1,000. Hapo awali, tarehe 21 Septemba 2013, Kenya iliingiwa na hofu baada ya magaidi wanaoshirikiana na Wanamgambo wa Al...
Read More

Media Content

Radio Free Africa - Live

Kiss FM - Tanzania - Live

Star TV - Live Stream

Youtube Channel

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.