Kamati ya Tuzo za Mandela huko Afrika Kusini zimempa Rais John Magufuli Tuzo ya Amani ya Mandela ya mwaka 2017 yaani Mandela Peace Prize ikiwa ni kutambua jitihada zake katika kulinda amani na kupigania usawa wa kijamii.

Inaelezwa kuwa kamati hii ilipokea maombi takribani 5000 za kuwania tuzo hizo. Tofauti na Rais Magufuli viongozi wengine walioshinda ni Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye ameshinda Tuzo ya Mandela ya Demokrasia.

Wengine ni Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza ambaye amepewa Tuzo ya Ujasiri, Rais Idriss Itno wa Chad akipewa Tuzo ya Ulinzi huku Mahakama ya Juu nchini Kenya na Jeshi la Zimbabwe zikipewa Tuzo za Ujasiri.

Latest News

Trump akubali mualiko wa kukutana na Kim Jong Un
09 Mar 2018 12:20 - Mohamed Mnzava

Rais Donald Trump wa Marekani amekubali ombi la Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un la kutaka wakutane mapema ndani  [ ... ]

Wanawake DRC wanapigania haki zao kumiliki ardhi
09 Mar 2018 12:15 - Mohamed Mnzava

Wanawake wanaoishi vijijini huko Jamhumuri ya Kidemokrasi ya Kongo, hawana haki ya urithi wa mali pamoja na ardhi iliyoa [ ... ]

Rais Kenyatta, Odinga wakutana, waapa kufanya kazi pamoja
09 Mar 2018 11:15 - Mohamed Mnzava

Kwa mara ya kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu nchini Kenya uliofanyika October 2017, na kuleta mkanganyiko mkubwa wa kisias [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2018 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.