Na katika mashindano ya mchezo wa Snuka ya Masters 2018 yanayoendelea katika Ukumbi wa Alexandra Palace huko mjini London,Karin Wilson ameweka rakodi ya kwa mara ya kwanza baada ya ushindi dhidi ya Barry Hawkins. Katika mchezo huo uliokuwa wa utulivu na ukimya wa hali ya juu Hawkins alianza vyema mchezo huo kwa alama 131.
kabla ya Wilson kugeuza matokeo ya mchezo na presha kupanda kawenye kambi ya Hawkins. Hali ya mchezo huo ambao fainali yake itafanyika January 21, 2018 iliipanafasi ya kambi ya Hawkins kushinda kwa kuongoza wa alama 121, ikiwa sawa na point 2-1,hali ambayo iligeuka tena na Wilson kuongoza kwa alama 3-2. na hadi mwisho wa mchezo ukimaliza kwa pointi 4-3.
Wilson aliyezaliwa miaka 26,katika mchezo war obo fainali atakutana na bingwa mara mbili wa dunia katika mchezo huo Mark Williams mwenye miaka 58 Alhamis hii hivyo Wilson amedai kuwa anajisikia fahari kukutana na mchezaji huyo.
Picha na mtandao.